Hatua 5 rahisi kujiunga na Tigo Pesa

[[{"type":"media","view_mode":"media_original","fid":"1229","attributes":{"alt":"","class":"media-image","height":"1458","typeof":"foaf:Image","width":"3958"}}]]

Hatua 5 rahisi kujiunga na Tigo Pesa

1.Jisajili

Kujisajili na Tigo Pesa ni bure, unatakiwa kuwa na laini ya Tigo na kitambulisho halali

2.Kufungua akaunti

mara baada ya kusajiliwa utakuwa na uwezo wa kupata Tigo Pesa kutoka simu yako kwa haraka kwa kupijya  *150*01#

Kutoka kwenye orodha unaweza:

  • Kutuma fedha
  • Kununua muda wa maogenzi
  • Kulipia Luku
  • Kulipia DStv
  • Kulipia Dawasco
  • Kulipia Star Times

3.Kuweka Pesa

Kuweka pesa katika akaunti yako, tembelea wakala wa Tigo Pesa nchini kote.

4.Kutuma Pesa

Unaweza kutuma pesa mara moja na kwa urahisi kutoka mahali popote na kwa mtu yoyote.

5.Kutoa Pesa

Kutoa pesa kutoka akaunti yako, tembelea wakala yoyote wa Tigo Pesa nchini kote!