Kuwa wakala wa Tigo Pesa

 [[{"type":"media","view_mode":"media_original","fid":"1230","attributes":{"alt":"","class":"media-image","height":"1458","typeof":"foaf:Image","width":"3958"}}]]

Jinsi ya kuwa wakala wa Tigo Pesa

Kuwa wakala wa Tigo Pesa inaweza kuwa ni fursa kubwa kwako kutimiza malengo yako. Kama unataka kuwa wakala wa Tigo Pesa wasiliana na Timu yetu ya usajili wa mwakala. kwa barua pepe kwenda tigo.pesa@tigo.co.tz

Je, unaanzaje?

Ni rahisi; unachotakiwa kufanya ni:

 • Utasaini mkataba wa kuwa wakala.
 • Utaweka pesa kwenye akaunti yako.
 • Utapewa mafunzo ya kuwa wakala.
 • Utapewa vifaa vya kazi ya uwakala.

Je nini kinahitajika?

Ili kufanikiwa katika biashara yako unatakiwa kuwa na mahitaji yafuatavyo:

 • Eneo zuri kwa biashara.
 • Kiasi cha kuweka katika akaunti yako.
 • Wasifu binafsi.
 • Leseni ya biashara.
 • Mkataba wa biashara.*
 • TIN namba na malipo ya VAT.*
 • Nakala ya kitambulisho.
 • Picha 2 ndogo za pasport.