Roaming

International Roaming

Wateja wa malipo ya kabla sasa wanaweza kutumia laini zao  za Tigo kwenye nchi tatu za Africa mashariki Kenya, Uganda na Rwanda.Wateja wa malipo  ya kabla wanaweza kutumia laini zao za tigo kupitia mitandao ya orange Kenya ,Orange Uganda na Tigo Rwanda.

Wateja wa malipo kabla wanaweza kutumia laini zao za Tigo hata wanapokuwa nje ya nchi..

Mapendekezo:

Unashauriwa nini kabla ya kusafiri?

  • Mteja lazima awe na laini inayotumika katika  malipo ya kabla
  • Weka salio la kutosha kwenye laini yako kabla ya kuondoka au beba vocha za kuongeza wakati utakapo kua kwenye nchi husika.

Nini cha kufanya nikishafika nchi ninayoitembelea?

  • Washa simu yako. Simu nyingi zitajiunganisha moja kwa moja na mtandao uliopo.
  • Kama sivyo, utajiunganisha kwa kutumia mwongozo wa kuchagua mtandao kwenye simu yako.

 

Ninaongezaje salio?

  • Kwa kutumia Tigo Niwezeshe (*149*05#. *149*49# or *149*22#)
  • Kwa kutuma meseji ya kuomba salio kwa rafiki yako nyumbani kutoka:
  1. Tigo Rusha
  2. Tigo Pesa

GHARAMA

 Tigo Roaming Charges

Bei Zinajumulisha Kodi ya Ongezeko la Thamani