International

Simu za Kimataifa 

Vifurushi vya Kimataifa ni mahususi kwa wateja wanaohitaji kupiga  simu nje ya nchi.

Kujiunga: Piga *148*00# --> "Vifurushi vya Kimataifa"

Vifurushi Vya Kimataifa

International Calling 

Gharama Bila Kujiunga na Vifurushi

UkandaNchiBei, Tsh/sec
Kundi la 1China, India, USA, Canada9
Kundi la 2Kenya, Angola, South Africa, Nigeria, Botswana, Ghana, Ethiopia17
Kundi la 3Lebanon, Israel, Spain, UAE, UK Mobile, UK fixed15
Kundi la 4Sweden, Hong Kong, Pakistan, Yemen, Philippines, Saudi Arabia, Netherlands, Japan, Malaysia, Norway, Ireland18
Kundi la 5Australia, Nepal, Turkey, Russia, Comoros, Uganda, Rwanda, France, Denmark, Italy, Oman, Germany25
Kundi la 6Rest of the World42
Kundi la 7Cuba, DRC, Burundi, Zimbabwe, Mozambique, Switzerland, Malawi, Zambia42
Kundi la 8All Satellite Networks330