Ofa Kabambe

[[{"type":"media","view_mode":"media_original","fid":"1220","attributes":{"alt":"","class":"media-image","height":"729","typeof":"foaf:Image","width":"1979"}}]]

 

VIFURUSHI VYA WHATSAPP

Ukiwa na kifurushi hiki unaweza kutumia whatsapp wiki nzima au mwezi mzima bila kikomo hata kama hautakua umejiunga na kifurushi cha intaneti.

 Vifurushi:

1.  Kifurushi cha wiki kwa Tsh 1000.

2.   Kifurushi cha mwezi kwa Tsh 2000.

Kujiunga:

Piga *148*00# > Ofa maalumu >  Vifurushi vya WhatsApp

Au

Piga *148*00# > Intaneti >  Vifurushi vya WhatsApp

 

USIKU BILA KIKOMO

Pata GB 4 BURE za kuperuzi internet saa 5 Usiku  hadi saa 11 asubuhi

      Kujiunga:

         Piga *148*00# > Vifurushi vya Internet > Kifurushi Maalum Kwa Simu