Video za Bure

[[{"type":"media","view_mode":"media_original","fid":"1401","attributes":{"alt":"","class":"media-image","height":"340","typeof":"foaf:Image","width":"924"}}]]

Video za  Bure

Furahia kutazama video za YouTube bila kikomo – usiku kucha, kila usiku – bila malipo yoyote kutoka Tigo. Tazama video zako za muziki uzipendazo, trailer za muvi, sehemu za video na kila kitu kingine ambacho YouTube kitakupa usiku mzima.

Maelezo kuhusu Ofa

  • Ofa inaanza kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 asubuhi
  • Ofa ni kwa ajili ya wateja wa Tigo Peke yake
  • Hakuna malipo
  • Hakuna malipo kutoka salio lako
  • Hauhitaji kujiunga

Nahitaji kufanyaje ili kufurahia ofa hii?

Unahitaji kuwa mteja wa Tigo mwenye huduma ya internet na simu inayoruhusu kutumia internet

Kwa watu wasiokuwa wateja wa Tigo wanahitaji kununua laini ya Tigo

Naweza kufurahia ofa hii mchana?

Ofa hii ni kuanzia saa 6 usiku hadi saa 12 asubuhi, ukitumia huduma hii muda mwingine wowote utakatwa malipo ya kawaida ya huduma ya internet.

Furuahia kuangalia video bila internet

Zaidi ya kuangalia video usiku, Youtube inakupa uwezo wa kuhifadhi video zako uzipendazo ukiwa huna internet na kuzicheza baadae kipindi cha ambacho huna internet au ikiwa na spidi ndogo kwa kipindi cha masaa 48. Bofya sehemu ya kuangalia video bila internet kuhifadhi video hizo.

**Tigo inafurahia kujumlisha mhusika wa tatu wanaotumia huduma za video kwenye ofa hii, kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia business@tigo.co.tz.