Tigo Story Box

Tuna hadithi nyingi za mapenzi, za kutisha na za kuelimisha.

Unaweza furahia hadithi hizi kwa muda wako unaotaka kwa kununua na kusikiliza hizi hadithi piga 0 901 656 564 na ufuate maelekezo jinsi ya kununua.

Unaweza kununua hizi hadithi kwa sehemu ambapo itakugharimu Tshs 150 kwa sehemu ya dakika 15 kwa siku au unaweza nunua hadithi nzima kwa Tshs 1200 kupitia tigo pesa      au Tshs 1300 kwa salio la kawaida.

Ukinunua hadithi nzima unaweza isikiliza muda wowote unaotaka kwa spidi unayotaka.

Bei Zinajumulisha Kodi ya Ogezeko la Thamani