Tigo Beatz

[[{"type":"media","view_mode":"media_original","fid":"1226","attributes":{"alt":"","class":"media-image","height":"1458","typeof":"foaf:Image","width":"3958"}}]]

TIGO MDUNDO ni mlio anao usikia mteja anayepiga simu badala ya mlio wa kawaida.

1.  IVR – kwa kupiga 15050 au 15007 na kusikiliza kununua na kupanga nyimbo zako.
2.  Kubonyeza nyota (*) – unaweza kupata wimbo kwa kubonyeza alama ya nyota pindi usikiapo nyimbo wakati ukimpigia mtumiaji mwenzako wa mtandao wa tigo.
3.  Unaweza kutuma meseji ya alama za siri wimbo unaoupenda kwenda 15050. Mfano kupata wimbo wa Nidanganye wa Shetta alomshirikisha Diamond tuma HE kwenda 15050.

 

Gharama za huduma ni:

1.   Kupiga simu kwa IVR kupitia 15050 au 15007 ni Tshs 50 kwa muda wa dakika 5.
2.   Gharama ya mlio ni Tshs 150 kwa wiki kwa nyimbo zote ulizonazo.
3.   Hakuna gharama za kila siku.
4.   Kujiondoa kwenye tigo mdundo tuma meseji yenye neon ONDOA au STOP kwenda 15007 au 15050. Au piga 15007 au 15050 na ufuate maelekezo ya kujiondoa.

Bei Zinajumulisha Kodi ya Ogezeko la Thamani