Filamu

Pata kujua filamu zinazoonyeshwa Mlimani City Cinemax hall, Dar Free Market Cinema hall na Quality Plaza Cinema hall.

Tuma  CINEMAX kwenda 15511 kwa ajili ya Mlimani city cinema hall, CINEMA kwenda 15511 kwa ajili ya Dar Free Market cinema hall na CINEPLEX kwa ajili ya Quality Plaza Cinema hall na utapata ratiba za filamu zinazoonyeshwa.

Utalipia Tshs 120 kwa meseji.

Bei Zinajumulisha Kodi ya Ongezeko la Thamani