Sauti ya maajabu

[[{"type":"media","view_mode":"media_original","fid":"1214","attributes":{"alt":"","class":"media-image","height":"1458","typeof":"foaf:Image","width":"3958"}}]]

Sauti ya ajabu inakuwezesha kubadilisha sauti yako unapowapigia marafiki zako au kubadilisha mwonekano wako na sauti zinazokuzunguka na kufanya simu uliyopiga kuwa ya kufurahisha.

Hii inawafaa wanaopenda kufanya simu wanazopiga kua za kufurahisha.

Piga 0 901 656 565 na ufate maelekezo.

Kwa simu za tigo kwenda tigo utagharamia tshs 1 na za kwenda mitandao mingine utachajiwa Tsh 2.

Bei Zinajumulisha Kodi ya Ongezeko la Thamani