Laini Tuli ya Sauti (IP PABX)

[[{"type":"media","view_mode":"media_original","fid":"1198","attributes":{"alt":"","class":"media-image","height":"708","typeof":"foaf:Image","width":"2033"}}]]

Laini tuli  ya  sauti

Tigo biashara inawapa huduma tofauti kwa biashara zinazotumia mashine za PABX. Tigo biashara wanaweza kuunga mashine yako ya PABX kwa huduma mbili itakayo kuruhusu kupiga simu na kupokea simu kama ilinavoeleza  hapa chini;

Vifaa vya GSM/premicel:

Hii ni njia rahisi inayofaa wateja wanaopenda gharama nafuu au wanao tumia mfumo wa analojia kwenye mashine zao za PABX na hawaitaji wingi wa simu za kuingia na kutoka kwenye mashine zao.

Sauti E1/PBR

Hii inawafaa wateja wa makampuni makubwa wanao tumia mashine za kidigitali za PABX na wanaitaji kua na simu nyingi zinazo ingia na kutoka kupitia mashine zao za PABX. Sauti E1ni kifaa cha kidigitali kinachoweza kuunga hadi simu 30 za kufuatana (ziwe za kuingia na kutoka). Kwa kua ni kifaa cha kidigitali kinakupa uwezo wa sauti fasaha na huduma nyingne zitakazo mnufaisha mteja wetu.

      Sauti E1 inaweza kuunganishwa kwa mteja kwa kutumia mawimbi ya redio au fiber.

Manufaa kwa biashara yako

-Inapunguza gharama za simu kwa asilimia 20.

-Inaunganisha vifaa vingi vy PBX au laini ya moja kwa moja kuenda sehemu tofauti.

-Namba yako ya PBX itakua hewani muda wowote kwa ajili ya simu zinazoingia bila kuonekana inatumika ivyo kukusaidia kuhudumia wateja wengi na kuingiza kipato kikubwa.

-Matumizi ya teknolojia ya faiba inakuhakikishia uhakika katika mawasiliano.

-Mawasiliano yenye usalama kwa kuficha njia za mawasiliano.