Huduma Za Simu

[[{"type":"media","view_mode":"media_original","fid":"1197","attributes":{"alt":"","class":"media-image","height":"708","typeof":"foaf:Image","width":"2033"}}]]

Huduma Za Simu

Huduma ya malipo ya baada  ( Postpaid)

Tigo biashara  inakuletea huduma ya malipo ya baada kwa gharama nafuu zaidi . Tunawapa wateja wetu vifurushi nafuu sana vyenye manufaa na kwa gharama tofauti kulingana na mahitaji yako.

Huduma Mseto (HYBIRD)

Pata vifurushi nafuu kwa ajili ya mahitaji ya biashara yako kwa kutumia tigo biashara kwa malipo ya baada.

Vifurushi vyetu vya makampuni vinafaa kwa ajili ya makampuni na sekta za serikali zinazotaka urahisi na unafuu wa bei bila kuzidi kikomo cha kampuni.

Tuna vifurushi tofauti kwa ajili ya matumizi mbalimbali kulingana na ukubwa wa kampuni yako.

The marked fields( * ) are required