Matumizi Binafsi kwa Vikundi

[[{"type":"media","view_mode":"media_original","fid":"1199","attributes":{"alt":"","class":"media-image","height":"708","typeof":"foaf:Image","width":"2033"}}]]

Matumizi Binafsi kwa Vikundi

Je unahitaji kuongea na wafanya kazi wenzako kwenye kampuni bila kikomo au kuogopa kuishiwa salio?

Fanya ivo kwa kutumia huduma za Tigo biashara CUG.

Matumizi binafsi kwa vikundi inakupatia maongezi ya bila kikomo ndani ya kampuni yako. Huduma za CUG zimesaidia makampuni mengi kupunguza gharama zao kwa asilimia 30 huku yakiongeza uzalishaji kazini.

Tigo biashara CUG inarahisisha mawasiliano na kuruhusu wafanyakazi kuwasiliana moja kwa moja bila matatizo.

Je una wasambazaji unaotaka kuwaongeza kwenye kampuni yako?

Fanya ivo kwa kutumia Tigo biashara ya mwingiliano wa CUG na uwaongeze wasambazaji au kampuni dada na uwapigie kwa gharama nafuu.