Mkonga wa Mawasiliano

[[{"type":"media","view_mode":"media_original","fid":"1201","attributes":{"alt":"","class":"media-image","height":"708","typeof":"foaf:Image","width":"2033"}}]]

Tigo inayo furaha kutangaza kuwa ni moja kati ya kampuni zenye mkonga wa mawasiliano ulioenea sehemu kubwa nchini. Kwa kutumia mkonga wetu wa mawasiliano utapata kuunganishwa bila matatizo na makampuni  mengine ndani na nje ya Dar-es-salaam.

Umuhimu wa Mkonga wa Mawasiliano dhidi ya Waya za Kopa

1.Matumizi Makubwa

Mkonga wa mawasiliano unakupa matumizi makubwa dhidi ya waya za kopa na ina uwezo wa hadi  10Gbpsna zaidi. Matumizi makubwa ya mkonga wa mawasiliano yanaweza kubeba habari nyingi kwa ufanisi mkubwa dhidi ya kopa.

2.Spidi na Umbali

Mkonga wa mawasiliano unatumia mwanga ivyo hupoteza mawasiliano madogo sana wakati wa ushambuliaji na mawasiliano hutembea kufikia spidi kubwa na umbali mrefu. Mkonga wa mawasiliano hauna kikomo cha spidi cha mita 100 kwa waya za kopa.

3.Usalama

Mawasiliano yako ni salama kwa kutumia mkonga wa mawasiliano haitoi mionzi ya mawasiliano kwa hiyo ni ngumu kuitega. Kama waya utavamiwa ni rahisi kujua sababu utatoa mwanga na kusababisha mfumo mzima kufeli kama jaribio la kuharibu kifaa cha mkonga wa mawasiliano ni rahisi kujua.

Mkonga wa mawasiliano utakusaidia kuweka vifaa vyako vya kieletroniki kwenye sehemu moja badala ya kua na waya zilizounganishwa na vifaa ndani ya jengo zima.

4.Uimara na Uhakika

Mkongo wa mawasiloano unakupa mawasiliano ya uhakika ya habari zako. Iko imara na mazingira yanayoizunguka kuzidi kopa.

5.Muundo;

Mkonga wa mawasiliano ni mwepesi,mwembamba na imara zaidi ya kopa. Kupata spidi kubwa kwa kopa utatakiwa kutumia daraja la juu la waya za kopa zenye upana mkubwa ,nzito sana na zinzchukua nafasi kubwa.