Intaneti Binafsi

[[{"type":"media","view_mode":"media_original","fid":"1311","attributes":{"alt":"","class":"media-image","height":"708","typeof":"foaf:Image","width":"2033"}}]]

Intaneti Binafsi

Tigo biashara inahakikisha wateja wake wanapata matumizi bora ya intaneti. Kwa kutumia intaneti binafsi kutoka tigo biashara wateja wetu watapata mtandao bora na wenye spidi, upatikanaji bora hewani na muunganisho wa program zako za kibiashara na kua na amani ya moyo kujua kwamba utapata intaneti kwa muda uatapo hitaji.

Tunawahudumia wateja wetu Kwa uwangalifu wa kuwashauri vifurushi vinavyowafaa kwa biashara zao.

Manufaa kwa Biashara Yako

  • Una unganishwa na intaneti moja kwa moja bila kushirikishwa na wateja wengine.
  • Chagua uwezo utakao kukidhi na mahitaji yako kuanzia 1 Mbps

Faida za Huduma

  • Kuunganishwa kwa kutumia teknolojia ya mkonga wa mawasiliano au mawimbi (leseni na leseni) hadi mwisho wa huduma
  • Usalama wa njia zako za mawasiliano kwa kutoa msaada wa masaa 24 ndani ya siku 7 kupitia NOC’s
  • Tunatoa ripoti za malipo zilizorahisi kusomeka
  • Tunatoa huduma bora za SLAs kwa kutumia intaneti binafsi kutoka kwetu Tigo