Mawasiliano MPLS

 

[[{"type":"media","view_mode":"media_original","fid":"1310","attributes":{"alt":"","class":"media-image","height":"708","typeof":"foaf:Image","width":"2033"}}]]

Mawasiliano MPLS

Kuunganishwa na ISP

Mahitaji ya Biashara yako

 • Huduma za kisasa,salama, za kutegemewa na za kipekee kwa ajili ya mtandao wako mkubwa ulioenea sehemu tofauti ndani na nje ya nchi.
 • Huduma binafsi za mawasiliano
 • Huduma za kisasa kwa kampuni yako kuhakikisha upatikanaji na msaada wa kiufundi.

Manufaa kwa Biashara yako

 • Usalama wa mawasiliano ya biashara yako bila kuunganishwa na umma.
 • Unaweza kuchagua tofauti kuanzia 1Mbps. Ni rahisi kuongeza matumizi na matawi ya ofisi kwenye mtandao wa biashara yako.
 • Muundo wake ni rahisi kusimamiwa hata kama unatumia miundo tofauti tofauti. Ni rahisi kusimama na hakuna mabadiliko ya vifaa pindi unapoongeza kituo kwenye VPN
 • Ina bei rahisi na huduma inayofaa

Faida za Huduma Hii

 • Mtandao imara wa biashara yako kwa kutumia TIgo MPLS
 • Kuongeza uwezo kwenye mtandao wa kampuni yako
 • Utapata njia ya binafsi ya mawasiliano kutuma taarifa zako muhimu

Faida Nyinginezo

 • Uwangalizi wa masaa 24 ndani ya siku 7 wa njia za mawasiliano za mteja
 • Msaada wa mteja kwa kutumia wahandisi wetu wakati utakapopata shida