Huduma za APN kwa Makampuni

[[{"type":"media","view_mode":"media_original","fid":"1200","attributes":{"alt":"","class":"media-image","height":"708","typeof":"foaf:Image","width":"2033"}}]]

Huduma za APN kwa Makampuni

Mahitaji utakayo hitaji katika biashara yako:

-Kuongeza faidi dhidi ya wapinzani wako kwa kuongeza uzalishaji na ufanisi.

-Kudhibiti matumizi na kupat faida kubwa kwenye uwekezaji.

Faida kwa Biashara yako

-Njia rahisi ya kuunganisha matumizi yako ya simu.

-kuunganisha mashine zilizoko mbali kama ATM,POS, magari na mashine nyingine za kazi.

-Njia rahisi ya kutumia nyaraka na program za ofisi ukiwa mbali na ofisi.

-Unaweza kuunganishwa na ofisi ukiwa mahali popote duniani kwa njia salama naya kipekee.

Faida za Huduma

-Njia salama ya usambazaji kwa sababu nyaraka zako hazitatumia inteneti ya umma bali itatumia njia salama ya mtandao wa tiGo’s MPL5 na hivyo kuzuia uhalifu.

-Kuongeza nafasi za biashara kwa kuongeza mtandao wa ndani wa biashara yako kwa kutumia mtandao wa tigo ulio enea sehemu nyingi.

-Njia rahisi ya kupunguza gharama kwa kujumuisha matumizi na bei za ofa.