Huduma za Uhifadhi Data

Vituo vya Data na Huduma Zake

Mahitaji yatakayo hitajika katika biashara yako

 • Ulinzi wa data zako kwa kiwango cha juu cha usalama na uwangalizi
 • Upatikanaji wa mazingira muhimu ambapo mitandao muhimu, kampuni washirika wa biashara wataunganika.

Umuhimu kwa biashara yako

 • Bei rahisi Ina nguvu ya uhakika na mitambo ya upoozaji iliyoundwa vizuri na kufanya kazi kwa ufanisi.
 • Usalama wa kisasa unapatikana kwa kutumia CCTV, kadi za kuchanja na sense

Umuhimu wa huduma

 • Vituo vyetu nivya daraja namba moja vya data ukanda huu
 • Inapatikana kwa uhakika kwa kiwango cha asilimia 99
 • Utaalam wa kuunda na kutoa msaada kwa mfumo wenye uwezo mkubwa
 • Wataalam wetu hutumia teknolojia ya kieletroniki kuingia kwenye chumba cha habari
 • Usalama wa uhakika ndani ya jengo.

Vipengele vingine

 • Ufanisi wa mitambo ya upoozaji ulio imara kwa mitambo mikubwa.
 • Hutumia nishati na Tigo kwa iyo kuna uhakika wa upatikanaji wa nishati
 • Inaendana na viwango vya operesheni ya vituo vya TIGO na mahitaji ya biashara zote.