Meseji za Wingi

Meseji za Wingi

Mahitaji utakayoitaji katika biashara yako;

  • Kufanya promosheni
  • Kutuma kumbukumbu kwa wateja
  • Njia rahisi ya kutuma meseji kwa wateja wako kwa kutumia namba ya kipekee

Manufaa kwa biashara yako;

  • Utaweza kutuma meseji moja kwa moja kwa urahisi kupitia mfumo wetu ulio salama na uwakika
  • Ni rahisi kutumia mfumo wa meseji za wingi kupitia tovuti yetu na ivyo kukusaidia kutuma meseji kirahisi hata ukiwa ofisini kwako

Manufaa ya huduma

  • Bei nafuu na uwezo wa kuchagua njia tofauti kulingana na wingi wa meseji
  • Uhakika wa meseji zote kupokelewa papo kwa papo