Tigo Maps

[[{"type":"media","view_mode":"media_original","fid":"1019","attributes":{"alt":"","class":"media-image","height":"351","typeof":"foaf:Image","width":"950"}}]]

Wakati wowote ukiwa na tatizo la kimtandao unaweza kutumia Tigo Maps kutuambia eneo lako na aina ya tatizo unasumbuliwa. Habari hii itatusaidia kuboresha huduma zetu.

Tigo Maps ni nini?

Tigo Maps ni programu itakayosaidia kumpa mteja wa Tigo    nafasi ya kutaoa taarifa wapi na muda gani kuna shida ya mtandao. Programu hii imeunganishwa na ukurasa wetu wa Facebook vilevile katika microsite na watumiaji wote wa mtandao wanaweza kutumia kwa urahisi zaidi.

 

Jinsi gani inavyofanya kazi?

Ni rahisi sana kutumia Tigo maps, baada ya kuingia katika ukurasa wetu wa facebook utapata kiunganishi cha moja kwa moja katika programu hii na utapata maelekezo zaidi kutoa taarifa ya eneo lako linalokabiliwa na tatizo la mtandao na utathibitisha.

Unachotakiwa ni kuingiza taarifa zako ikiwa pamoja na jina ,namba ya simu barua pepe na muda wakati ambapo tatizo linatokea. Mara baada ya kuwasilisha taarifa hii utapokea ujumbe mfupi kuuliza ili kuthibitisha taarifa hiyo.

Kwenda Tigo Maps, Bofya hapa