Maeneo Ya Mtandao

[[{"type":"media","view_mode":"media_original","fid":"1018","attributes":{"alt":"","class":"media-image","height":"360","typeof":"foaf:Image","width":"976"}}]]

 

Tumefika kila kona

Kutoka Ruvuma mpaka Kigoma, Pemba Mpaka  Mtwara, Tigo ina mtandao mpana katika mikoa yote 26 ya Tanzania. Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, Tigo imekuwa kuwekeza dola milioni  100 za marekani kwa   mwaka sawa na dola milioni 2  za Marekani kwa wiki katika kupanua mtandao na uboreshaji. Katika kipindi hiki, zaidi ya minara 1,400 imejengwa na kufanya Tigo kuongezeka kwa kasi ya mtandao wa Tanzania. Pia minara  840 mipya inategemewa  kujengwa mwaka 2015 katika jitihada za  kutambua lengo letu kwamba  haijalishi ulipo katika Tanzania unatakiwa kuunganishwa na ndugu jamaa na marafiki ukiwa unatumia mtandao wa Tigo 

Licha ya kuwa na mtandao bora wa intaneti katika teknolojia ya GPRS na 2G Tanzania nzima ,sasa tunatoa huduma za intaneti katika teknolojia ya 3G  kwenye mikoa ifuatayo;

  • Dar es Salaam
  • Morogoro
  • Tanga
  • Dodoma
  • Moshi
  • Mwanza
  • Arusha
  • Namanga