Reach for change 2013

SHIRIKISHA WAZO LA KIBUNIFU, FADHILIWA NA ULETE TOFAUTI

 

Je, wewe ni mjasiriamali wa jamii unayefanya kazi ya kuboresha maisha ya watoto na jamii kwa ujumla?Na unatumia vifaa vya kiteknolojia kukuza maendeleo yako?Una wazo la kibunifu la kuleta mabadiliko duniani na pia shauku ya kuleta mabadiliko hayo? Shirikisha wazo  lako tutekeleze pamoja !

Pata ufadhili na mafunzo unayotaka kutoka katika programu maalumu ya mafunzo, na shuhudia wazo lako litakavyobadilsha maisha kutokana na usimamizi makini na msaada kutoka kwa washauri na wataalam kutoka kampuni ya Kinnevik Group.

Tigo ikiwa ni mshirika mkuu wa mpango wa Reach for change Africa, itatoa ufadhili kwa wajasiriamali wa jamii katika kutekeleza miradi na kusaidia katika teknolojia na watalamu.Tegemea msaada kuweka katika utekelezaji na kuleta mabailiko chanya katika maisha ya watoto katika maeneo mengi ya Africa.

 JIUNGE SASA!