Dira, Dhamira na Maadili Yetu

Vission Mission & Values

Dira Yetu

Dira yetu ni kuleta uhuru kwa watu wote kumiliki dunia,  ili kufanikisha hili tunahakikisha gharama za simu ni nafuu na zinapatikana kiurahisi kila mahali na kwa kila mtu.

 

Dhamira Yetu

Dhamira yetu ni kutoa huduma kwa watu wote wanaotaka kuwasiliana ,kuwepo katika jumuia ambapo watapata habari na burudani huku wakielezea hisia zao katika kuboresha maisha yao.

Tukiwa na vipaumbele vitatu kama unafuu,uwepo na  upatikanaji na tunaweza kufanikisha kwa kutoa huduma kwa gharama nafuu,upatikanaji bora na urahisi wa ununuzi na matumizi.

 

Maadili Yetu

  • Uadilifu
  • Heshima
  • Ari ya kufanya kazi

Tunaamini katika uadilifu heshima na ari ya kufanya kazi. Kuelekeza nguvu katika haya maadili matatu tunajenga mafanikio  endelevu .Tunathamini kampuni kama wamiliki .