I. Kiwango bora cha data kwa bei nafuu
II. Kifurushi cha data cha Usiku ambacho kinampa nafasi mteja kutumia kati ya 11 usiku hadi 5 alfajiri kwa siku mbili.
III. Mteja anaweza kujiunga muda wowote
IV. Kinaweza kutumika kwenye simu yoyote yenye uwezo wa intaneti
V. Vituo vyetu vya mauzo sasa vinaweza kuuza vifurushi vya data kwa malipo ya wazi kama inavyoonekana hapo juu
VI. Angalia Salio kupitia *102*02#